Bei ya alizeti

Bei ya alizeti

Ndugu zangu, naomba kujua bei ya alizeti kwa mwezi huu wa nane 2023.
Hivi kuna app ama website ya kuweza kusaidia bei ya mazao Tanzania?
Asanteni
 
Ongeza thamani kamua mafuta uuze mafuta kwa gunia moja unaweza kupata lita 25 hadi 30 ambayo itakupa tsh.100,000 hadi 120,000 ukiuza lita kwa 4000/=
 
Bei inayotajwa mfano 50k au 60k ni kwa ujazo wa gunia moja (wastani wa kilo 70).
Sasa ukiandika bei bila kusema kipimo gani unakuwa bado haujatoa msaada.

Hii bei ni kwa kilo, debe, gunia, au ujazo gani hebu kuwa specific kidogo
 
Back
Top Bottom