Gunia 1?45000-50000
52-60k singidaNdugu zangu, naomba kujua bei ya alizeti kwa mwezi huu wa nane 2023.
Hivi kuna app ama website ya kuweza kusaidia bei ya mazao Tanzania?
Asanteni
Sasa ukiandika bei bila kusema kipimo gani unakuwa bado haujatoa msaada.52-60k singida
Sasa ukiandika bei bila kusema kipimo gani unakuwa bado haujatoa msaada.
Hii bei ni kwa kilo, debe, gunia, au ujazo gani hebu kuwa specific kidogo