Natanguliza salamu kwa wakuu wote, kuna rafiki yangu ameniomba nimuulizie kwa wakubwa humu jamvini wanaofahamu bei ya bajaj ikiwa mpya kwa hapo Dar na hata kama ni mikoa ya jirani. Yeye anaihitaji kwa ajili ya masuala ya biashara(kubeba abiria), so naomba kama kuna yeyeto mwenye kulifahamu hilo amsaidie huyu mwenzetu aweze kufanikisha malengo yake, shukran!
Ni kuanzia shs million 4 mpaka 7 kwa bajaj zitumiazo diesel karibu maduka mengi huko dar