Gogovivu45
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 229
- 133
Elf 29-30 dukani na 28500 kiwandaniHabari zenu watu mlioko Mjini.( dar & mwanza & arusha) Naomba msaada wa kufahamu bei za mabati kampuni ya alafu, hususani Gg 30 migongo midogo. napatikana Nyancheche mpakani mwa izyiko na buhororongoma... naomba mnisaidie. nahitaji pc 120. hivyo ningependa kujua angalau bei za viwandani kwanza.
Sasa nitakuwa na uhakika kuwa ni Alaf Og. Au limechakachuliwa kwa hilo la dukani! Maana mjini ujanjaujanja ni mwingi sana nipe muongozo pleaseElf 29-30 dukani na 28500 kiwandani
Ukitaka uhakika nunua yale meupe ( yasiyo na rangi/plain) maana yana nembo yake imeandikwa kwa wino mwekundu, ila yale ya rangi ni ngumu sana kujua og na fake maana nembo yake imefichwa sana na imeandikwa kwa wino mweusiSasa nitakuwa na uhakika kuwa ni Alaf Og. Au limechakachuliwa kwa hilo la dukani! Maana mjini ujanjaujanja ni mwingi sana nipe muongozo please