Bei ya beef fillet

Bei ya beef fillet

chibe dayo

Member
Joined
Jun 25, 2022
Posts
26
Reaction score
20
Salamu, kwa wanajukwaa
Kwa mwenye kufahamu bei ya beef fillet mahali popote nafika, msaada tafadhali.
 
Nenda kampuni za uchinjaji wanaosafirisha nyama nje wanakupa kwa bei nzuri 12000 bei ya jumla
 
Bei zake ni 14000 hadi 16000. Siku hizi hata wabongo wanapenda nyama laini ndio maana bei zake ziko juu.
 
Back
Top Bottom