chibe dayo
Member
- Jun 25, 2022
- 26
- 20
Bei ya jumla mkuu tafadhaliKilo 14,000 Kibaha
Nitakupa number ya mhusika muongeeBei ya jumla mkuu tafadhali
Ntashkuru sanaNitakupa number ya mhusika muongee
Nenda kampuni za uchinjaji wanaosafirisha nyama nje wanakupa kwa bei nzuri 12000 bei ya jumla
maeneo gani hayoNenda kampuni za uchinjaji wanaosafirisha nyama nje wanakupa kwa bei nzuri 12000 bei ya jumla
Ile namba ya mhusika wa fillet kiongoziNitakupa number ya mhusika muongee