kolimbainc
Member
- Jul 29, 2015
- 7
- 2
Jamani ningependa kujua bei ya bero la mashati ya kichina kama linàvyojulikana kwa wafanya biashara ya mitumba kwa Dar, maana huku Songea niliko ni TZS 800,000/=..
Au kama kuna mtu analijua basi ànicheki whatsapp 0653730547
Au kama kuna mtu analijua basi ànicheki whatsapp 0653730547