Bei ya bero la mitumba ya mashati ya Kichina

kolimbainc

Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
7
Reaction score
2
Jamani ningependa kujua bei ya bero la mashati ya kichina kama linàvyojulikana kwa wafanya biashara ya mitumba kwa Dar, maana huku Songea niliko ni TZS 800,000/=..

Au kama kuna mtu analijua basi ànicheki whatsapp 0653730547
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…