Bei ya bidhaa za kuwashia moto wa mkaa

yusufu ismail

New Member
Joined
May 4, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Habari wanajamvi!nahitaji msaada wenu kwa anaefahamu bei za bidhaa ambazo hutumika kama nishati ya kuwashia moto badala ya kutumia mafuta ya taa hasa kwenye mkaa huwekwa juu yake kwa kuwashia,nahitaji kuwa msambazaji wa bidhaa hii ila sifahamu wapi inapatikana na bei zake kwa carton..hivyo kwa msaada wenu wana jf mnisaidie kunielekeza mahali bidhaa inapopatikana, bei,na namba za sim ikiwezekana!natanguliza shukrani na MUNGU awabariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…