K kabahise Member Joined Jul 14, 2016 Posts 10 Reaction score 2 Nov 23, 2018 #1 Bei ya cement Dangote sh ngap kwa sasa? nahitaj miifuko 200 au zaid, kama unajua mahala gan naweza pata kwa bei nzuri zaid nitashukuru sana kama utashare details. Mimi nipo mkuranga. Nahitaj kupata kwa bei ya jumla au ile ya kiwandani.
Bei ya cement Dangote sh ngap kwa sasa? nahitaj miifuko 200 au zaid, kama unajua mahala gan naweza pata kwa bei nzuri zaid nitashukuru sana kama utashare details. Mimi nipo mkuranga. Nahitaj kupata kwa bei ya jumla au ile ya kiwandani.
Mr Confidential JF-Expert Member Joined Jul 1, 2018 Posts 1,545 Reaction score 2,486 Nov 23, 2018 #2 Wako bize na KOLO-SHOW, wakimalizana nae watakuja