Bei ya Cement kutoka nje ya nchi

Bei ya Cement kutoka nje ya nchi

Asante

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2009
Posts
2,086
Reaction score
1,081
Dear Sir/Madam,
With regards to your inquiry, we will like to inform you that we are willing to meet supplies for CEMENT with immediate effect as per conditions and specifications below

Product name: Portland Cement
Product type: M500Color: Grey
Hardening: Extra rapid hardening
Strength Grade(Mpa): 42.5
Heat of hydration: Low-heat
Feature: Radiation-resistant etc
Main Raw Material: Silicate
Place of origin: South Africa
Port of dispatch: Durban
Destination:
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Tanzania[/FONT]

[FONT=arial, sans-serif]Silicon Dioxide (SIO2) ........... 21,00 ± 0.3[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]Aluminium Oxide (AL203) ...... 5,30 ± 0.3[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]Ferric Oxide (FE203) ............ 3,30 ± 0.3[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]Calcium Oxide (CAO) ............ 65,60 ± 0.3[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]Magnesium Oxide (MGO) .......1,10 ± 0.3[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]Sulphur Oxide (SO3) ............. 2,70 ± 0.3[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]Loss of Ignition (LOI) ............. 0,90 ± 0.2[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]Insoluble redidue (I.R) ........... 0.2 ± 0.1[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]Autoclave Expansion ............. 0,02 ± 0.01[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]M Tricalcium Silicate (C3S) ......60,00[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]Dicalcium Silicate (C2S) ..........15,00[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]Tricalcium Aluminate (C3A) .......8,05[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]Tricalcium Alumino Ferric ( C4AF) 9,76[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]Initial Setting Time (VICAT) 105 minutes[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]Final Setting Time (VICAT) 135 minutes[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]Blain CM2/GR 3,25[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]Compressive strength [/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]03 days – 230 kg/cm2[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]07 days – 305 kg/cm2[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]28 days – 420 kg/cm2[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]CEM I or CEM II Grade 42.5 N or R[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]British Standards BS 12/1996, or United States Standards ASTM C-150.[/FONT]

[FONT=arial, sans-serif]Packaging Detail: 50 kg craft bags (3 ply)[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]Packaging Detail: Multiple packaging options customized to meet your demands[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]Minimum order quantity: 500MT[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]Supply ability: 200000MT/month[/FONT]

[FONT=arial, sans-serif]Payment terms: TT[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]Price per Ton: USD 54 CIF[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]Payment: 40% Deposit and balance against standard shipping documents[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]Prompt delivery of goods[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]Guaranteed good services[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]Regards,[/FONT]

Tonny
 
Mwaka 2010 Slaa alisema CHADEMA wakishika Dola kipaumbele kitakuwa ni kuwawezesha wananchi kujenga nyumba za tofali na kuezekwa kwa bati. Wakati huo alisema serikali yake itashusha bei ya mfuko wa sementi hadi shilingi 5,000/=

Huo ulikuwa mwaka 2010, sasa hivi bei ya sementi kutoka South Africa hadi ifike bandarini Dar es Salaam bei yake ni US Dollar 54 kwa tani. Dollar moja ni sawasawa na shillingi 1650 x 54 = 89,100/= kwa tani moja, ambayo ni sawasawa na mifuko 20 ya kg 50.

Hivyo bei ya mfuko mmoja wa sement kabla ya kodi, na gharama za bandari ni 89,100 / 20 = 4,455/=

Bei halali ya sementi inatakiwa isizidi shilingi 8,000/= kwa sasa hivi.
 
Ccm na akili zao nyepesi walipinga hilo..sasa vitu viko wazi
 
Kutoka dubai hadi dsm plus kodi ni 5500 kama una mdau wa kukupigia mipango ya kutoa haraka mzigo port ili kupunguza garama.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mkuu nahitaji hiyo mchongo
 
Mwaka 2010 Slaa alisema CHADEMA wakishika Dola kipaumbele kitakuwa ni kuwawezesha wananchi kujenga nyumba za tofali na kuezekwa kwa bati. Wakati huo alisema serikali yake itashusha bei ya mfuko wa sementi hadi shilingi 5,000/=

Huo ulikuwa mwaka 2010, sasa hivi bei ya sementi kutoka South Africa hadi ifike bandarini Dar es Salaam bei yake ni US Dollar 54 kwa tani. Dollar moja ni sawasawa na shillingi 1650 x 54 = 89,100/= kwa tani moja, ambayo ni sawasawa na mifuko 20 ya kg 50.

Hivyo bei ya mfuko mmoja wa sement kabla ya kodi, na gharama za bandari ni 89,100 / 20 = 4,455/=

Bei halali ya sementi inatakiwa isizidi shilingi 8,000/= kwa sasa hivi.

Taabu ya serikali yetu ni kutotaka kujihangaisha kutafuta vyanzo vipya vya mapato!! Kodi zinatoka katika vyanzo vichache (na huko bado watu wanapiga mabao) kwa hiyo kila gharama za kuendesha serikali zinavyopanda, kodi pia inapandishwa katika vyanzo vilevile WALIVYOVIKARIRI!!!

Naamini kabisa bei ya cement inayozalishwa hapa nchni kuwa juu hivi kunachangiwa kwa kiwango kikubwa na kodi zinazotozwa.
 
Kutoka dubai hadi dsm plus kodi ni 5500 kama una mdau wa kukupigia mipango ya kutoa haraka mzigo port ili kupunguza garama.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mkuu Marango, hivi kodi ya cement 50kg halali kabisa ni shillingi ngapi na gharama zingine pale bandarini? Kama unawadau pale pale bandarini wa kusaidia mipango niinbox tafadhali!
 
Amoeba bei ya cement siku zote ipo chini kwa wenzetu..binafsi niliwaileta cement toka dubai bei ilikuwa kama hiyo hapo juu aliyotoa huyo bwana...serikali yetu pia inajua kuwa cement ya nje ni cheap na quality ni nzuri kuliko yetu sasa kwa makusudi kabisa wameweka usumbufu wa hali ya juu pale bandarini kama una bidhaa hii..mimi niliwahi kutuma mifuko mia tu..TBS wakachukua mfuko mmoja kwa ajiri ya kuupima ubora cost ya kupima ni tsh 250,000/ baadaye kodi ya tra na bandari ikaja tsh1,200,000/ ilikuwa ni ku komoana...wao wanasema wakiruhusu cement toka nje viwanda vya ndani vitakufa...lakini kuna wazoefu wa biashara hii wanaagiza ma containers lakini cement yao haiendi TBS na ushuru wa tra si mkubwa sana na ndio wanaouza na kupata faida kubwa...kuagiza si kazi,kazi ni kupata agent mzuri amnaye anawezakuwa na connection za kutoa mzigo kwa ushuru unaoeleweka...husiagize bila kufanya homework kwanza la sivyo utashindwa kuutoa na utauacha bandarini +971504374387 dubai
 
Well said. Thanx brother
 
Twiga cement walikua wanatumia bilion 8 kwa mwezi on umeme after kuunganishwa na gas kiwandani cost imeshuka mpaka 1.5 bilioni pumbavu zao kwann hawashushi beiiiiiii!!
 
Mbona wanaruhusu sukari toka nje.kwa hiyo wanajali viwanda vya cement lakini vya sukari wanaviua.hawa wanaofanya maamuzi kweli si watu wema kwa Watz.
 
Kutoka dubai hadi dsm plus kodi ni 5500 kama una mdau wa kukupigia mipango ya kutoa haraka mzigo port ili kupunguza garama.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Aseeee!!
 
Mwaka 2010 Slaa alisema CHADEMA wakishika Dola kipaumbele kitakuwa ni kuwawezesha wananchi kujenga nyumba za tofali na kuezekwa kwa bati. Wakati huo alisema serikali yake itashusha bei ya mfuko wa sementi hadi shilingi 5,000/=

Huo ulikuwa mwaka 2010, sasa hivi bei ya sementi kutoka South Africa hadi ifike bandarini Dar es Salaam bei yake ni US Dollar 54 kwa tani. Dollar moja ni sawasawa na shillingi 1650 x 54 = 89,100/= kwa tani moja, ambayo ni sawasawa na mifuko 20 ya kg 50.

Hivyo bei ya mfuko mmoja wa sement kabla ya kodi, na gharama za bandari ni 89,100 / 20 = 4,455/=

Bei halali ya sementi inatakiwa isizidi shilingi 8,000/= kwa sasa hivi.

Nmeku-apreciate mkuu!
 
Thread kama hizi zitanifanya nishinde JF usiku kucha. Kuna dogo alipost kuhusu makaburi ya kabila moja nikalog out jf. Asante umenifanya nilog in tena
 
Dah hawa wajinga wanatunyonya kinywama ,yani wanapata faida kiasi hiki.Ifike wakati watu wa serekalini waache ubishi ila angalau kwa mambo ya mhimu kama cement wawe serious. Yani sisi wa africa tuendeleee kushika mkia kwa kila kitu kwa sababu ya manufaa ya wachache
 
Back
Top Bottom