Bei ya cement na usafirishaji mikoani

Bei ya cement na usafirishaji mikoani

kalooo son of Kambarage

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
275
Reaction score
181
Habari wakubwa.

Nahitaji cement isiyopungua mifuko 600 kutoka kiwandani hivyo naomba kujua bei na gharama za usafirishaji kwenda Simiyu.
 
Nenda kiwanda husika utapata utaratibu mzuri au tafuta wakala wakiwanda utapata full details km unataka kudanganywa subili utaona.
 
Back
Top Bottom