kalooo son of Kambarage JF-Expert Member Joined Jun 14, 2016 Posts 275 Reaction score 181 May 8, 2020 #1 Habari wakubwa. Nahitaji cement isiyopungua mifuko 600 kutoka kiwandani hivyo naomba kujua bei na gharama za usafirishaji kwenda Simiyu.
Habari wakubwa. Nahitaji cement isiyopungua mifuko 600 kutoka kiwandani hivyo naomba kujua bei na gharama za usafirishaji kwenda Simiyu.
Wang Shu JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 2,562 Reaction score 3,715 May 8, 2020 #2 Nenda kiwanda husika utapata utaratibu mzuri au tafuta wakala wakiwanda utapata full details km unataka kudanganywa subili utaona.
Nenda kiwanda husika utapata utaratibu mzuri au tafuta wakala wakiwanda utapata full details km unataka kudanganywa subili utaona.
TheDreamer Thebeliever JF-Expert Member Joined Feb 26, 2018 Posts 2,490 Reaction score 3,584 May 24, 2020 #3 Nicheck PM nikuunganishe na watu wa mauzo uongee nao mwnyw,kiwanda kipo Tanga !
emanuel kiduvilo Senior Member Joined Aug 5, 2014 Posts 165 Reaction score 20 May 25, 2020 #4 Tabisco said: Nenda kiwanda husika utapata utaratibu mzuri au tafuta wakala wakiwanda utapata full details km unataka kudanganywa subili utaona Click to expand... Chukua huu ushauri mkuu otherwise utapigwa na watoto wa mjini.
Tabisco said: Nenda kiwanda husika utapata utaratibu mzuri au tafuta wakala wakiwanda utapata full details km unataka kudanganywa subili utaona Click to expand... Chukua huu ushauri mkuu otherwise utapigwa na watoto wa mjini.