Mmemjibu swali lake la pili la "wapi naweza kupata simenti kwa bei nafuu..." kuwa ni kwa mawakala wa kiwanda cha simenti na mmoja kampa namba ya simu. Safi. Ebu jibuni na swali lake la kwanza "bei ya jumla ya simenti (kwa mawakala ni bei gani)? Pia swali lake lingine ni simenti ya jumla ni kuanzia mifuko mingapi? Maswali haya mawili wengi tuna maslahi na majibu yake. Tunaomba taarifa za kina kwa mwenye nazo. Asanteni