Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
tumia juiceWanakambi, kuna mghahawa mmoja nilizoea kupata chai ya asubuhi na vitumbua maarufu kama "Kwa Mama P" ni hapa Mwenge jijini Dar es salaam. Siku zote tulikuwa tukiuziwa kikombe cha Chai Shilingi 150. Leo nimeshitushwa baada ya kumaliza kunywa chai yangu na vitumbua vinne (200@) badala ya kulipa Shilingi 950 nikaambiwa nilipe 1,100/=. Hapa nadaiwa. Kulikoni?
#BasheLiveTheOfice
ChaiWanakambi, kuna mghahawa mmoja nilizoea kupata chai ya asubuhi na vitumbua maarufu kama "Kwa Mama P" ni hapa Mwenge jijini Dar es salaam. Siku zote tulikuwa tukiuziwa kikombe cha Chai Shilingi 150. Leo nimeshitushwa baada ya kumaliza kunywa chai yangu na vitumbua vinne (200@) badala ya kulipa Shilingi 950 nikaambiwa nilipe 1,100/=. Hapa nadaiwa. Kulikoni?
#BasheLiveTheOfice
Mama anaupiga mwingiWanakambi, kuna mghahawa mmoja nilizoea kupata chai ya asubuhi na vitumbua maarufu kama "Kwa Mama P" ni hapa Mwenge jijini Dar es salaam. Siku zote tulikuwa tukiuziwa kikombe cha Chai Shilingi 150. Leo nimeshitushwa baada ya kumaliza kunywa chai yangu na vitumbua vinne (200@) badala ya kulipa Shilingi 950 nikaambiwa nilipe 1,100/=. Hapa nadaiwa. Kulikoni?
#BasheLiveTheOfice