MPUNGA MMOJA JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 304 Reaction score 401 Mar 25, 2021 #1 Msimu huu umekua na maajabu sana kwenye bei ya Mpunga. Kwa masoko ya Ubaruku,Igulusi na Chimala debe moja la Chenga sh 12,000/= mpka 15,000/= huku bei ya Mpunga kwa kipimo cha debe kama hicho sh 7000/= mpaka 9000/= kutegemea na mbegu.
Msimu huu umekua na maajabu sana kwenye bei ya Mpunga. Kwa masoko ya Ubaruku,Igulusi na Chimala debe moja la Chenga sh 12,000/= mpka 15,000/= huku bei ya Mpunga kwa kipimo cha debe kama hicho sh 7000/= mpaka 9000/= kutegemea na mbegu.
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 20,834 Reaction score 26,217 Mar 25, 2021 #2 ujazo ni tofauti mkuu