Bei ya chini kwa Gari la kawaida la Kutembelea, yaweza kuwa kiasi gani?

anjnr

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
539
Reaction score
208
Samahani, kwa wazoefu wa mambo haya ya magari naomba mnisaidie, nahitaji kuwa na angalau kiasi gani kupata gari (used) zuri la kutembelea lenye gharama nafuu za uendeshaji pia?
 
Tafuta vitz mkuu sema wanasemaga ya wadada ila mi sijali
 
laki nane na nusu, volkswagen beetle
Model ipi kama ni zile za old Model hizo zinapatikana kuanzia elfu hamsini hadi laki mbili tu....
Beetle Model za kisasa hatoziweza
 
Tafuta Mazda demio au suzuki swift gharama yake iko down haifik 8m
 
Samahani, kwa wazoefu wa mambo haya ya magari naomba mnisaidie, nahitaji kuwa na angalau kiasi gani kupata gari (used) zuri la kutembelea lenye gharama nafuu za uendeshaji pia?

Mkuu kuna Toyota caldina inaenda kwa 8.5M,iko poa sana mkuu,if ur interested ni PM
 
Hata ukiwa na mil 6.5 unaweza kupata.
 
Kuna gari ya laki 3 hapa ila haina viti na parking ni kwenye miteremko tu,kama vipi ni pm nikuunganishe mkuu.ulaji wake wa mafuta ni manageable since kidumu cha mafuta utakaa nacho sambamba kwa kiti.
 
Utani pembeni: mimi nina Toyota Tarcel, VX, 1997, 80,000km, 1450CC, PM, PW, Manual 5 gear, AC, Stereo Music system,Dual air bags, anti lock brake system, UV cut windows . 6.5m. Contact: africapride12@yahoo.com au ni PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…