Bei ya chini kwa Gari la kawaida la Kutembelea, yaweza kuwa kiasi gani?

Asante sana waungwana, kumbe naamini kwa 6.5m hadi 8m naweza kuwa barabarani na mimi, let me take time kufuatilia hizo aina nilizoshauriwa kuona ipi itanifaa zaidi. Asanteni kwa michango.
 
Kama uko tayari nikupatie Corona Mayai-New model, ni nzuri sana rangi ya malloon 7m when you're ready ni PM
 
Tafuta Mazda demio au suzuki swift gharama yake iko down haifik 8m

Hivi kumbe spea za mazda ziko bongo, nilikuwa sijui, maana nafikiria kuvuta mazda moja safi sema nilikuwa naogopa kwamba spea zake haziko bongo
 
Samahani, kwa wazoefu wa mambo haya ya magari naomba mnisaidie, nahitaji kuwa na angalau kiasi gani kupata gari (used) zuri la kutembelea lenye gharama nafuu za uendeshaji pia?

Nimekumbuka kama bado hujapata Gari nina Vitz ya Three Doors nilipanga kwa bei ya 4.5 kama kuna dalali ila kama unakuja wewe mie nataka 4m kamili tu kigari hakijatumika sana nimekipaki tu kinaisha upepo... ukija njoo na pump unajaza na kuondoka tu kipo Bomba nilimnunulia demu nimuhonge kabla sijampa akaleta mapozi.... ati anataka Harrier duh!
 
Samahani, kwa wazoefu wa mambo haya ya magari naomba mnisaidie, nahitaji kuwa na angalau kiasi gani kupata gari (used) zuri la kutembelea lenye gharama nafuu za uendeshaji pia?


Hapa vipi?


1998 Toyota corolla For Sale in Dar Es Salaam Tanzania | Classified
1996 Toyota Grande Mark II For Sale in Dar Es Salaam Tanzania | Classified
1997 Mercedes-Benz C 220 For Sale in Dar Es Salaam Tanzania | Classified
2000 Toyota Vitz For Sale in Dar Es Salaam Tanzania | Classified
1999 Nissan march For Sale in Dar Es Salaam Tanzania | Classified
1999 Toyota CRESTA For Sale in Dar Es Salaam Tanzania | Classified
http://www.zoomtanzania.com/listingdetail?ListingID=42317
1996 Land Rover Discovery For Sale in Dar Es Salaam Tanzania | Classified
1996 Toyota Surf For Sale in Tanga Tanzania | Classified
1993 Toyota Little Ace For Sale in Dar Es Salaam Tanzania | Classified
2000 Toyota Platz For Sale in Dar Es Salaam Tanzania | Classified
1996 Toyota Rav 4 For Sale in Dar Es Salaam Tanzania | Classified
1995 Toyota Corola E100 For Sale in Dar Es Salaam Tanzania | Classified
1989 Nissan sunny For Sale in Dar Es Salaam Tanzania | Classified
1996 Toyota Sprinter For Sale in Iringa Tanzania | Classified
1996 Toyota Camry For Sale in Dar Es Salaam Tanzania | Classified
1988 Suzuki Jimy For Sale in Morogoro Tanzania | Classified
1994 Suzuki Escudo nomande For Sale in Tanga Tanzania | Classified
http://www.zoomtanzania.com/listingdetail?ListingID=41813
2000 Nissan March For Sale in Dar Es Salaam Tanzania | Classified
1997 Toyota Corsa For Sale in Dar Es Salaam Tanzania | Classified
1999 Nissan March For Sale in Kagera Tanzania | Classified
 


HP1 Hongera gari za ZOOM ni kweli zipo na bei yake ni rahisi sana kwani ukiwapigia hata wauzaji wanakuhakikishia lakini bahati mbaya wameshaziuza
anjnr usihangaike tena fuatilia mtandao huo wa ZOOM gari safi unaiona na picha yake na bei ni maelewano achana na hizo gari za 0/= mpaka 200,000/= eti Volkswagen kobe utaibiwa kwani hata picha yake ya VW hakuana ila mascraper
 
Last edited by a moderator:
I have decided to go for toyota Spacio, comments please!
 
Nina rav 4 old model bei 6.5 bila dalali. Ni pm kama uko interested.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…