Erick tryphone
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 387
- 84
350000
350000
Naomba kujuzwa bei ya chini ya kununulia laptop kwasababu ina umuhimu mkubwa pale uendapo kusoma chuoni
inategemea na mahitaji, pia unataka mpya au used?.. Kwa dukan pale kariakoo unaokoa k2 cha ukweli kwa matumiz ya chuo hadi kwa 300,000.. Halafu umepost thread ktk sehem icyohucka, take care next tym..
nimekuelewa mkuu