Bei ya chumvi kuongezeka

Bei ya chumvi kuongezeka

Kenyan

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Posts
414
Reaction score
314
Kampuni ya Kensalt Limited ambayo ndio mzalishaji mkubwa wa chumvi nchini Kenya imetangaza kuwa bei ya chumvi itaongezeka kwa Ksh 1000 kwenye Kila tani.

Sababu waliyotoa ni Kuongezeka kwa gharama ya uzalishaji, huku Kenya izikidi kupitia wakati mgumu kiuchumi.

Ifahamike kuwa hii ni mara ya kwanza kwa bei ya chumvi kuongezeka ndani ya zaidi ya miaka 10 iliyopita.
20230414_172537.jpg
 
Back
Top Bottom