kantalambaz
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 1,878
- 887
USD 1500 mpaka mlangoniWadau habari za mihangaiko.
Naomba kujuzwa bei ya container tupu la futi 20 kwa Dodoma mjini.
Natanguliza shukrani.
hilo la yellow mscWadau habari za mihangaiko.
Naomba kujuzwa bei ya container tupu la futi 20 kwa Dodoma mjini.
Natanguliza shukrani.
vipi kwa dar kwenda vikindu bei gani???hilo la yellow mscView attachment 973509