Kama utakua una muda ingia ilala au tandale. Ila kwa ushauri wangu ungempa fundi hiyo kazi. We kadiria utapasuka kati ya 350k mpaka 600k. Hapo ukinunua lazima mtu aje kuiprogram iendane na gari yako naye atakupasua kati ya 100-150k.
Na fundi naye atakupasua chake.
Yani hapo kamilioni kataisha.