Nimepitia kwenye mtandao na kwenye forum mbali mbali kujuwa uzuri na ubaya wa haya magari mawili nikasema moyoni hivi hawa viongozi wanapo tamka maneno wanadhani watu wapo mashimon au kwenye ujima kama kipindi cha hayati baba wa taifa ambapo alikuwa akisema mambo ya. Ulaya na watanzania tukikaa kimya kisa yeye tu ndie alikuwa na TV yenye satelite.
Jamani crown sio gari ila ni majanga bei yake mpaka hata Usd 900 tena kwa gharama ya juu hiyo unapata. Sema balaa lake kwa maisha ya mtanzania mafuta inabugia na ndio maana bei yake ipo chini sasa ukisema umempa mtu mwenye kipato cha chini crown ni umempa umasikini bora hata ungemjengea nyumba hivyo ile sio gari ya wanaume ni gari ya umasikini.
IST ndugu yangu Haka kagari ukiitwa ni mtoto wakike cheka na mwambie huyo mtu akanunue ya kwake maana kwanza bei imesimama new mode mpaka Usd 4000. Na bei ya chine old mode mpaka Usd 1990 hapo ujaweka ushuru.
Ukija kwenye wese ndugu yangu hadi raha na Uwenda wivu huu ndio ulio zuwa neno hii ni gari ya mtoto wa kike.
Why nikwasababu Haka kagari kananusa mafuta zero uses of fuel na kana cost ya chini wakati unakatumia watu wengi wanakapenda Haka kagari kutokana ni cost efficient.
Dunia inaenda wapi wakati tunatukanana na kufedhehesha ulimwengu unaenda kwenye matumiz ya magari madogo na yenye uwezo wakutumia nishati ndogo ya mafuta au gas. Nchi kama German magar madogo ndio mpango. Yani ukimikik Ist ni afadhali kuliko crown maana utatozwa zaidi maana crown sio gari ya kubana matumizi ila naweza Sema ni toleo la kutumia mafuta kiasi Uwenda wanunuzi wakubwa wanaweza kuwa nchi zenye mafuta na ndio maana inaitwa crown.
Mwisho tumuogope Mungu maana hakuna anaijuwa kesho.
Hakuna kiongoz atadumu milele ipo siku anaondoka hivyo let us watch our mouth.