Ukiwa muaminifu utauza sana, na utafanikiwa sana
 
Ukiwa muaminifu utauza sana, na utafanikiwa sana
Ukitaka kupoteza marafiki endekeza mambo ya uaminifu. Unapigwa tukio zito hlf mtu anakublock mazima unakuja kufungua uzi wa huzuni na malalamiko hapa.

Humu mitandaoni soma vitu dokoa maarifa tambaa zako. Uaminifu hata walio huko nyumba za ibada umewashinda. Dunia ya sasa haina huruma mwanadamu kabadilika kawa afadhali ya mnyama hata mbabu au mbibi anaweza kukunyoosha ukabaki unashangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…