NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 999
Mafuta ni yale yale unamaanisha nini. Mbona bei ya ndege dar-dom ni kubwa kuliko gari wakati distance ni sawaHivi sumatra hawajaliona hili, haiwezekan kwenye maji kukawa na bei kubwa sana mwendo wa saa 1.30 na Dom mwendo wa saa 9 mpka 10
Naomba kujuzwa tofauti yake au huwa wanaangalia nini, maana mafuta ni yale yale tu
Mafuta ni yale Yale? Gharama za matengenezo ni zile zile? Gharama nyingine pia ni Sawa?Hivi sumatra hawajaliona hili, haiwezekan kwenye maji kukawa na bei kubwa sana mwendo wa saa 1.30 na Dom mwendo wa saa 9 mpka 10
Naomba kujuzwa tofauti yake au huwa wanaangalia nini, maana mafuta ni yale yale tu
Riski pia huangaliwa Mkuu.....Mafuta ni yale Yale? Gharama za matengenezo ni zile zile? Gharama nyingine pia ni Sawa?
Una undugu na Gachuma mwenyewe?Riski pia huangaliwa Mkuu.....
Mtazamo wako ni hasi. Hivi 25km umezipataje?Hivi sumatra hawajaliona hili, haiwezekan kwenye maji kukawa na bei kubwa sana mwendo wa saa 1.30 na Dom mwendo wa saa 9 mpka 10
Naomba kujuzwa tofauti yake au huwa wanaangalia nini, maana mafuta ni yale yale tu
Kwani ndege inatumia Diesel au Petrol nikisema ghalama ni zile zile na matumizi yanayo fananaMafuta ni yale yale unamaanisha nini. Mbona bei ya ndege dar-dom ni kubwa kuliko gari wakati distance ni sawa
Sasa hizo km zinalingana na km 400?Mtazamo wako ni hasi. Hivi 25km umezipataje?
View attachment 971556
AKIJIBU NITAGIMkuu ndege na treni nauli zao ni sawa? Bei yaBoti na bei ya basi zinafanana? service zao zipo sawa? ulaji wa mafuta pia una hakika unafanana?
Huu utakuwa ni ugumu wa kuelewa, kwani ujazo wa Gari na Boat vinafanana...Boat inachuwa watu 250 gari watu 60 tafakari kwanza hapoAKIJIBU NITAGI
Ngoja mzee Magu atujengee Daraja tuki m-promote miaka 5 ya ziada namaanisha isiwe 2025 Bali iwe 2030 nitakwenda na Bajaji yangu tuNenda na gari yako
Acha kudanganya watu, distance ya Dar to Dom kwa ndege sio sawa na Dar to Dom kwa basi (barabara)Mafuta ni yale yale unamaanisha nini. Mbona bei ya ndege dar-dom ni kubwa kuliko gari wakati distance ni sawa
Gachuma "Mwenyewe" ni yupi Mkuu....Una undugu na Gachuma mwenyewe?
We unadhani meli zote zinatumia diesel? Ni meli chache sana zinazotumia diesel, nyingi zinatumia HFOKwani ndege inatumia Diesel au Petrol nikisema ghalama ni zile zile na matumizi yanayo fanana
Sababu kubwa ni gharama za manunuzi matengenezo na uendeshaji ziko juu ukifananisha na za nchi kavuHivi sumatra hawajaliona hili, haiwezekan kwenye maji kukawa na bei kubwa sana mwendo wa saa 1.30 na Dom mwendo wa saa 9 mpka 10
Naomba kujuzwa tofauti yake au huwa wanaangalia nini, maana mafuta ni yale yale tu