Baada ya rais trump kuleta chaos za kipumbavu kwenye uchumi wa dunia, thamani ya dollar ya marekani imetelemka kwa haraka sana na sasa hivi thamani ya dhahabu ndiyo imepanda sana. Je Tanzania iunafaidake na mabadiliko hayo ilihali tuna mogodi kadhaa ya dhahabu?
Embu muulize Lema au Mdude watakupa jibu sahihiBaada ya rais trump kuleta chaos za kipumbavu kwenye uchumi wa dunia, thamani ya dollar ya marekani imetelemka kwa haraka sana na sasa hivi thamani ya dhahabu ndiyo imepanda sana. Je Tanzania iunafaidake na mabadiliko hayo ilihali tuna mogodi kadhaa ya dhahabu?
Khan!Gram moja leo ilikuwa $112 ambazo ni zaidi ya laki tatu.
Kwani tuna dhahabu? Umewahi kusikia inatajwa kama rasilimali yetu au pato katika bajeti?Baada ya rais trump kuleta chaos za kipumbavu kwenye uchumi wa dunia, thamani ya dollar ya marekani imetelemka kwa haraka sana na sasa hivi thamani ya dhahabu ndiyo imepanda sana. Je Tanzania iunafaidake na mabadiliko hayo ilihali tuna mogodi kadhaa ya dhahabu?
Oh,ndio SUGU kakupa hii Elimu?Kwani tuna dhahabu? Umewahi kusikia inatajwa kama rasilimali yetu au pato katika bajeti?
Oops Yaani Mpaka Na Hapo Utaambiwa Siyo MwishoGram moja leo ilikuwa $112 ambazo ni zaidi ya laki tatu.
Tuko kwenye era ya kula kwa urefu wa kamba.. Mengine hayatuhusu😭Baada ya rais trump kuleta chaos za kipumbavu kwenye uchumi wa dunia, thamani ya dollar ya marekani imetelemka kwa haraka sana na sasa hivi thamani ya dhahabu ndiyo imepanda sana. Je Tanzania iunafaidake na mabadiliko hayo ilihali tuna mogodi kadhaa ya dhahabu?
Kwa bei ya dollar Kwa tarehe ya leo 22/4/2025 ni sawa na shilingi za Tanzania 2,685Gram moja leo ilikuwa $112 ambazo ni zaidi ya laki tatu.
Fuatilia masoko ya assets duniani ujadili mambo kwa authority. India ilihamisha dhahabu zake kutoka London na sasa hivi Ujerumani nayo inataka kuhamisha dhahabu zake kutoka New York kwa sababu thamani ya dhahabu imekuwa inapanda sana.Kwa bei ya dollar Kwa tarehe ya leo 22/4/2025 ni sawa na shilingi za Tanzania 2,685
Ambapo Kwa hizo dollar 112 x 2,685 =300,720
Dhahabu haijapanda eti kwasababu za mgogoro wa kiuchumi kati ya China na Marekani
Isipokuwa imepanda kutokana na shilingi yetu kutokuwa imara
Mwezi wa kwanza, dollar 1 ilikuwa ni sawa na shilingi 2,495
Mwezi huu Aprili, tayari dollar imepanda Thamani Kwa zaidi ya 100+
Hili lipo kwetu Watanzania na wachumi wetu akina Mwigulu
Ndiyo maana hata gharama za kuagiza magari nje ya Nchi zimepanda kutokana na kupanda Kwa dollar pia 🙌
Baada ya rais trump kuleta chaos za kipumbavu kwenye uchumi wa dunia, thamani ya dollar ya marekani imetelemka kwa haraka sana na sasa hivi thamani ya dhahabu ndiyo imepanda sana. Je Tanzania iunafaidake na mabadiliko hayo ilihali tuna mogodi kadhaa ya dhahabu?
Benki kuu ya Tanzania ikinunua dhahabu watazitunza wapi kama haizitaibiwa na maafisa wa benki hiyo ni kuziuza nje ya nchi kwa faida yao binafsi.Nakumbuka kuna mbunge wa Upinzani aliwahi kushauri kuwa Benki kuu wanunue dhahabu kama hazina ya Taifa lakini Mwigulu Nchemba akiwa Naibu waziri wa fedha alipinga sana .
Ila mataifa makubwa na mabilionea wa Kiarabu wanaakiba kubwa sana ya dhahabu na haijawahi kuporomoka kwa kiwango cha pesa zetu zilizokua zinaitwa za madafu . Pesa zinazobadilika badoka kama kinyonga . Kuanzia Mwingi aingie madarakani kazi ni kubadilisha pesa na kuongeza ukubwa wa Karatasi na kuhakikisha kila waziri anaweka saini yake kama kumbukumbu yake bila kujali
Benki kuu ya Tanzania ikinunua dhahabu watazitunza wapi kama haizitaibiwa na maafisa wa benki hiyo ni kuziuza nje ya nchi kwa faida yao binafsi.
Sasa hivi serikali haina lolote katika madini baada ya Magufuli kufa. Madini yamerudishwa mikononi mwa walanguzi binafsi. Sio dhahabu, The peculiar Tanzanite nkBaada ya rais trump kuleta chaos za kipumbavu kwenye uchumi wa dunia, thamani ya dollar ya marekani imetelemka kwa haraka sana na sasa hivi thamani ya dhahabu ndiyo imepanda sana. Je Tanzania iunafaidake na mabadiliko hayo ilihali tuna mogodi kadhaa ya dhahabu?
Sawa Mkuu, nitafanya hivyoFuatilia masoko ya assets duniani ujadili mambo kwa authority. India ilihamisha dhahabu zake kutoka London na sasa hivi Ujerumani nayo inataka kuhamisha dhahabu zake kutoka New York kwa sababu thamani ya dhahabu imekuwa inapanda sana.