Bei ya dhahabu

cheusimangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2010
Posts
2,585
Reaction score
498
wapendwa naomba kwa anayejua anijulishe bei ya gold kwa gram!
Namaanisha bei ya jumla kwa raw gold kutoka machimboni!
thanks in advance!
 
wapendwa naomba kwa anayejua anijulishe bei ya gold kwa gram!
Namaanisha bei ya jumla kwa raw gold kutoka machimboni!
thanks in advance!

Bei huwa ni makubaliano tu lakini kwa sasa inaweza kuwa kati ya Tsh 55,000 au zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…