Bei ya Drone Camera kwa brand

Bei ya Drone Camera kwa brand

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Wakuu natafuta camera nzuri (drone) ya kununua kwa ajili ya project moja hapa Bukoba.

Ninahitaji brand nzuri inayo toa video nzuri. Kwa hiyo kabla ya kuamua naomba wanao jua bei na brand za hizi kamera anipe ushauri..

Asanteni sana.
FB_IMG_1596448212430.jpeg
 
Thanks, hizo brand tunaweza zipata kwenye masoko yetu kama posta dar au kariakoo dar?
Tumia za DJI Mavic Mini bei $400 au kama unaweza sana chukua Mavic Air Pro $800. Naamini ndio zipo top notch ingawa kuna cases wanasema haziwezi sana kuhimili upepo hasa wa beach hivyo usije enda nazo pale Bunena.
 
drone Nzuri za kazi kweli kweli ni DJI phantom 3 au 4 bai za tz ni kari ya 3,000,000 - 3,500,000 (mpya) used za kutoka nje ni 1,300,000 - 2,000,000
Hizi nimeshuhudia sana kazi zake tena zipo very common kwa watu wengi hapa Dar. Sema mleta uzi hakusema anataka drone ya kupigia kazi gani. Kama anaweza mudu gharama hii iliyotajwa hapa basi ajue hii ni uhakika. Pia lazima uagize nje maana ukitegemea bongo utapata kwa bei mbaya sana.

bongo labda kwa used wanauza bei nzurii
 
Thanks Mkuu[emoji120]
drone Nzuri za kazi kweli kweli ni DJI phantom 3 au 4 bai za tz ni kari ya 3,000,000 - 3,500,000 (mpya) used za kutoka nje ni 1,300,000 - 2,000,000
 
Thanks mkuu[emoji120]

Back
Top Bottom