Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japo sijajua engine yako ni 1NZ au 2NZ, ila kwa ninavyofahamu, bei ya engine mpya unaweza kununua IST nyingine kutoka Japan. Maana sio chini ya US$ 5,000 bila usafiri na kodi. Engine used kwa hizo gari itakuwa kati ya 1.8m na 3m. Ubora wake unategemea na hali ya engine kabla ya kutolewa kwenye hilo gari. Which means kama ilikuwa kwenye hali nzuri, kwa hali ya kawaida, itaweza kukupa another 2 to 7years kutegemea na matumizi yako kama itafungwa vizuri, na wewe utaitunza vizuri.Wadau habari, mwenye kujua bei za engine ya IST old model Mpya na used bei zake na ubora wake? je used nikinunua inakua bora?
Shukrani Mkuu kwa ufafanuzi, so it means hiyo used nikitaka kwenda nunua inabidi niende na fundi akaikague sio, na mara nyingi hua zinatembea kama KM ngapi hivi kaka? msaada wako bado nauhitaji please kwa hili.Japo sijajua engine yako ni 1NZ au 2NZ, ila kwa ninavyofahamu, bei ya engine mpya unaweza kununua IST nyingine kutoka Japan. Maana sio chini ya US$ 5,000 bila usafiri na kodi. Engine used kwa hizo gari itakuwa kati ya 1.8m na 3m. Ubora wake unategemea na hali ya engine kabla ya kutolewa kwenye hilo gari. Which means kama ilikuwa kwenye hali nzuri, kwa hali ya kawaida, itaweza kukupa another 2 to 7years kutegemea na matumizi yako kama itafungwa vizuri, na wewe utaitunza vizuri.
Thank you soo much kaka! ubarikiwe sana!Yes. Uende na fundi na wakupe warranty. Wengi huwa wanakuruhusu uitumie kwa muda fulani kuiangalia. Ikileta shida wanakupa nyingine. Nyingi ni km70,000 mpaka 150,000. Mafundi wazuri anaweza kukushauri ipi ni nzuri kabla ya kuifunga kwenye gari. Japo sio rahisi kivile kama haiko kwenye gari.
Amina.Thank you soo much kaka! ubarikiwe sana!