Bei ya engineering compass ni ipi?

Bei ya engineering compass ni ipi?

VMWare-Oracle

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2021
Posts
667
Reaction score
917
Za muda huu?

Engineering compass kwa ajili ya technical drawings ni bei gani?

Nawasilisha.
 
Engineering compass
Bei hutegemea mambo yafuatayo.
  • Je umenunulia wapi? Hapa nchini au umeagiza nje ya nchi.
  • Iwapo umeagiza Nje ya nchi gharama huwa ni kubwa | Kutokana na gharama za usafiri zilivyo juu.
1667362119553.png

  • Kwa amazon wanauza kati ya $8 hadi $13, ambapo gharama ya kusafirisha ni kati ya $35 hadi $42
  • Iwapo utakosa hapa nchini, basi agiza amazon au ebay.
Code:
https://www.amazon.com/Compasses/b?ie=UTF8&node=1069030
 
somo la kijinga sana hili, nakumbuka kuuza sura na ma-drawing boards
 
Kijana wangu kidato cha kwanza kaniletea habari za 'compass' la 50k nikajua ameanza uhuni anataka kunipiga!
 
Back
Top Bottom