marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
Najua inategemea flame yenyewe ilivyo,,mahari ilipo na vitu vinginevyo
....sasa wewe unataka nini? mara unataka Mashamba morogoro, mara ufugaji kuku, mara mtaji wa duka la jumla....mzee ndo umepata ngawira ''Kiinua mgongo'' unataka kukizika nini......?
Kwanini unataka kuchoma hayo maduka kwa hiyo 'flame'?
Au ulimaanisha frame? Rekebisha basi
helo next level,
zote zipo kwenye category moja ya biashara....sasa hivi niko kwenye hatua ya kukusanya mawazo..siwezi kufanya jambo lolote bila kuwa na idea,,,,wingi wa mawazo siku zote ni kitu kizuri,,,maana unakufanya kuwa selective,,,pia kuwa na mawazo kuhusu biashara mbalimbali kunakusaidia kupunguza risk...(diversification of risk) ,,,isitoshe nia yangu pia habari hizi zijulikane kwa wengine maana naamini si mimi tu ninazohitaji habari hizi bali ni wengi...kwa hiyo kwa kuzianika hapa kwenye public area zitawafaidisha wengi...
Hayo ndiyo malengo yangu mkuu..hata wewe ukitaka kufanya hivyo jamii forums haikuzuii,,unajisaidia wewe mwenyewe kwa upande mmoja lakini kwa upande mwingine unaisaidia jamii..naomba uwe na mtazamo chanya katika hili...
Nadhani tumeelewana katika hilo,,
asante sana mkuu,,
kumbuka:
Minja/miruzi mingi humpoteza mbwa......
kwa nini unasema hivyo mkuu??? anyway nakushukuru
....sasa wewe unataka nini? mara unataka Mashamba morogoro, mara ufugaji kuku, mara mtaji wa duka la jumla....mzee ndo umepata ngawira ''Kiinua mgongo'' unataka kukizika nini......?
kaka mimi ni kijana tu,nina miaka 25 tu..ninatafuta habari ambazo ninaamini zitanisaidia,,kama alivyo sema mkuu hapo juu,,kama hauna kitu kizuri cha kuchangia,,unasoma tu,sio lazima uandike labda uwe na jambo la msingi,,hebu pitia forums za kizungu halafu uone kama kuna mambo unayofanya..Kuna mzee wangu huwa anasema muda wa kutafuta pesa ni kipindi cha ujanani ukistaafu usitegemee kama unaweza tafuta pesa zaidi zaidi unazipoteza, huyu hakujiwekea msingi mzuri kipindi cha ujana sasa hivi arudi kijijini tu awe analima huku akipumnzika lasivyo mmmh! hawezi ligi na vijana huko k.koo au sinza au migomigo n.k
kaka mimi ni kijana tu,nina miaka 25 tu..ninatafuta habari ambazo ninaamini zitanisaidia,,kama alivyo sema mkuu hapo juu,,kama hauna kitu kizuri cha kuchangia,,unasoma tu,sio lazima uandike labda uwe na jambo la msingi,,hebu pitia forums za kizungu halafu uone kama kuna mambo unayofanya..
any way ninajua,kwa kusema hayo utakuwa umejifunza kitu.
asante kaka.
Ningekushauri kwanza uchague biashara kama tatu unazozipenda kisha ukusanya details zinazohusiana na hizo biz (including soko, costing etc). Baada ya hapo ni vema uinvest katika biz kama 2 utakazoziona zimekukuna zaini. I believe in having more that biz opportunities maana hii inakupa nafasi ya kuona ipi inafanya vizuri zaidi na kuiongezea na kukulinda in case biz uliyochagua ukatumbukiza pesa zako zote haifanyi vizuri.helo next level,
zote zipo kwenye category moja ya biashara....sasa hivi niko kwenye hatua ya kukusanya mawazo..siwezi kufanya jambo lolote bila kuwa na idea,,,,wingi wa mawazo siku zote ni kitu kizuri,,,maana unakufanya kuwa selective,,,pia kuwa na mawazo kuhusu biashara mbalimbali kunakusaidia kupunguza risk...(diversification of risk) ,,,isitoshe nia yangu pia habari hizi zijulikane kwa wengine maana naamini si mimi tu ninazohitaji habari hizi bali ni wengi...kwa hiyo kwa kuzianika hapa kwenye public area zitawafaidisha wengi...
hayo ndiyo malengo yangu mkuu..hata wewe ukitaka kufanya hivyo JAMII FORUMS HAIKUZUII,,unajisaidia wewe mwenyewe kwa upande mmoja lakini kwa upande mwingine unaisaidia jamii..naomba uwe na mtazamo chanya katika hili...
nadhani tumeelewana katika hilo,,
asante sana mkuu,,