Bei ya gesi haijashuka, je serikali haina meno?

Bei ya gesi haijashuka, je serikali haina meno?

telegram

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2021
Posts
297
Reaction score
330
Ni hivi jana serikali imepiga marufuku kupanda bei huku kukiwa na sintofahamu ya marufuku iliyotolewa kupanda kwa gesi.

Bei ya Gesi haikupunguzwa baada ya serikali kuingilia kati na kupiga marufuku upandaji huo.

Sasa najiuliza Meno ya serikali ni butu na hivyo hata kwenye petrol watagomewa tena?

Waziri mhusika ukuje hukuuuu
 
Kumsikiliza mwigulu akiongea chochote nchi Hii imekua Ni KERO Sana.

Uyu jamaa
Ana kauli za kikatili Sana,

Anakauli za kebehi, majivuno na kujiskia Sana.

Uyu jamaa anachochea sana chuki ya wananchi dhidi ya serikali yao

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
Dharau za wanyiramba, angalia Gwajima girl, Mkumbo na Mwigulu
 
Back
Top Bottom