TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Nawao wanashangaaga kusikia wakulima lakilalamika kuhusu bei ya mazao wakati wao wananunua kwa bei kubwaWatu wa Dar bwana mbona sisi mikoani hizo bei tunazo kitambo ,huwa Kati ya 20,000- 22,000
Kwa hiyo unajisifia kununua kitu bei ghari hapo Zambia umeme upo chini kweli biashara ya gesi haiwezi kufanya vizuri maana kutumia jiko la umeme bill yaje kwa mwezi sio kubwa...hapa tunahangaika na mitungi gesi ikiisha umeme upo ila bado mtu ataumiza kichwa kupambana gesi ipatikane ingawaje nayo ipo bei juu..Watu wa Dar bwana mbona sisi mikoani hizo bei tunazo kitambo ,huwa Kati ya 20,000- 22,000
watanzania wamekubali tozo.Tanzania hii, zitapigwa danadana hapo watu tutatulia tu, refer tozo za simu, bei ya sukari, mafuta etc.
Mtungi mdogo huku ni 22,000Habari wadau!
Wiki iliyopita kuna taarifa kuwa bei za gesi za majumbani (LPG) zimepanda watu wakalalamika sana mpaka Ewura wakatoa tamko...
Utakuwa unaishi ushuani sana wwMtungi mdogo huku ni 22,000
Wala sehemu ya kawaida kabisa..Tena uswaziniUtakuwa unaishi ushuani sana ww
Tanzania hii, zitapigwa danadana hapo watu tutatulia tu, refer tozo za simu, bei ya sukari, mafuta etc.
Ushiani hawauziwi kwa Bei ya juu.Utakuwa unaishi ushuani sana ww