Bei ya jora za batiki

Bei ya jora za batiki

washeby

Member
Joined
May 28, 2015
Posts
32
Reaction score
4
Wakuu anaefahamu bei ya jola la kitambaa plan cotton % ya kutengenezea batiki na vinapopatikana
 
hello friend nenda kariakoo mtaa wa congo na tandamiti utaona duka la urafiki hapohapo wanauza jola za batik

au nenda kitumbini utapata huko mkuu
 
Back
Top Bottom