Bei ya karanga mbichi ni shilingi ngapi?

Kaka Ibrah

Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
83
Reaction score
65
kwema wadau?

Samahani nilikuwa naomba kufahamu bei ya karanga mbichi kwa bei ya jumla jumla ni sh ngap hapo ulipo, hasa kwa mkoa wa songwe kuwa ni shilingi ngapi?
 
Mkoa wa mtwara gunia ni Tsh 90,000/- kwa sasa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…