Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaposema Korosho kavu unamaanisha nini? Tafadhali fafanua maana nijuavyo mimi korosho ambazo hazijabanguliwa huuzwa zikiwa kavu na sio mbichi. Au wewe unamaanisha zilizobanguliwa?
Ok ukinunua kwa wakulima inategemea na quality na pia upeo wa huyo anayekuuzia ila jiandae bei kati ya sh. 8000 hadi 15000 kwa kilo
ni pm tuongee zaidiThanks Mkuu, nahitaji ya low quality!
ni pm tuongee zaidi