BlackGold_ Member Joined May 31, 2013 Posts 94 Reaction score 27 Jun 16, 2013 #1 Habari zenu wakuu, Naomba kuuliza kwa mtu anayejua bei ya samaki kwa kilo Viwandani Mwanza na je! Kwa wastani huwa bei ikoje?
Habari zenu wakuu, Naomba kuuliza kwa mtu anayejua bei ya samaki kwa kilo Viwandani Mwanza na je! Kwa wastani huwa bei ikoje?
Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,357 Reaction score 3,550 Jun 16, 2013 #2 Samaki gani?, Sato! I think but am not sure SATO kilo inaanza kati ya 3500 mpaka 4500 kwa kilo. Source: a friend
Samaki gani?, Sato! I think but am not sure SATO kilo inaanza kati ya 3500 mpaka 4500 kwa kilo. Source: a friend
BlackGold_ Member Joined May 31, 2013 Posts 94 Reaction score 27 Jun 17, 2013 Thread starter #3 Nasukuru sana mkuu, Lakini mimi kwa mawazo yangu nilidhani kuwa viwandani Mza huwa wananunua Sangara tu, kumbe hata Sato pia!!
Nasukuru sana mkuu, Lakini mimi kwa mawazo yangu nilidhani kuwa viwandani Mza huwa wananunua Sangara tu, kumbe hata Sato pia!!
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,067 Jun 17, 2013 #4 Tripo9 said: Samaki gani?, Sato! I think but am not sure SATO kilo inaanza kati ya 3500 mpaka 4500 kwa kilo. Source: a friend Click to expand... filets (mnofu)?
Tripo9 said: Samaki gani?, Sato! I think but am not sure SATO kilo inaanza kati ya 3500 mpaka 4500 kwa kilo. Source: a friend Click to expand... filets (mnofu)?
BlackGold_ Member Joined May 31, 2013 Posts 94 Reaction score 27 Jun 17, 2013 Thread starter #5 Hapana sio fillets!! Nasemea samaki wa kawaida tu hawa wa kutoka ziwani!! Sangara!!
M Masolwa Shinji Member Joined May 14, 2013 Posts 17 Reaction score 0 Jun 18, 2013 #6 Bei ya sangara kwa kilo ni Tshs 4500
BlackGold_ Member Joined May 31, 2013 Posts 94 Reaction score 27 Jun 19, 2013 Thread starter #7 Ok, Nashukuru sana mkuu,
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,095 Jun 19, 2013 #8 Mza hakuna kambare au perege?
BlackGold_ Member Joined May 31, 2013 Posts 94 Reaction score 27 Jun 19, 2013 Thread starter #9 Hawa walikuwepo siku za nyuma kidogo ila siku hizi hawaonekani!!
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Jun 19, 2013 #10 Sato bei ni
BlackGold_ Member Joined May 31, 2013 Posts 94 Reaction score 27 Jun 19, 2013 Thread starter #11 Fuatilia uzi huu vizuri kuna mkuu mmoja hapo juu, ameshatoa maelezo kuhusu bei ya Sato...