Kwa mtazamo wa kinuwekezaji ni big profit, kumbuka hapo sijatumia muda wala nguvu kuzalisha faida.Kwahiyo milioni 50 inakuzalishia milioni 5.5 kwa mwaka mzima na unajisifu kabisa.
Yaani milioni 50 inakuzalishia laki 4 na elfu 58 kwa mwezi na uko proud kabisa mkuu.
Watu wanashindwa kutofautisha, uwekezaji na biashara.Kwa mtazamo wa kinuwekezaji ni big profit, kumbuka hapo sijatumia muda wala nguvu kuzalisha faida.
Ni mfuko Gani Huu MkuuBaada ya mwaka kukamilika tangu mfuko huu kuanzishwa na bei ikiwa 100 tu kwa kipande enzi hizo, hii leo 2024 kipande kinauzwa kwa tsh 111.
Hii ina maana kwa mtu aliyeweka 50mil wakati huo leo anavuna 5.5m wakati huohuo mtaji wake wa 50m uko palepale...tuchangamkie hii fursa jamani.
ππππππ mkuu umechagua neno zuri sana.Watu wanashindwa kutofautisha, uwekezaji na biashara.