C ComputersDAR JF-Expert Member Joined Jan 21, 2013 Posts 213 Reaction score 242 Dec 1, 2019 #1 Naomba kujua kwa anayefahamu bei ya kitambaa cha car shade pekee yake pamoja na labor ya kushona kwa car shade ya mita 5 kwa mita 5. Asanteni 0625 536 529
Naomba kujua kwa anayefahamu bei ya kitambaa cha car shade pekee yake pamoja na labor ya kushona kwa car shade ya mita 5 kwa mita 5. Asanteni 0625 536 529
H Helios JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 651 Reaction score 490 Dec 1, 2019 #2 Gerezani pale wanauza mkuu. Mtaa nimesahau