Dingswayo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 4,019 Reaction score 2,925 Jun 6, 2013 #1 Naomba kuuliza kwa wale wataalamu na wanaoujua, kuwa je bei ya kiyoyozi 'wall split' ni kiasi gani ya vyumba vifuatavyo: 24 sq meters na 15 sq meters? Natanguliza shukrani.
Naomba kuuliza kwa wale wataalamu na wanaoujua, kuwa je bei ya kiyoyozi 'wall split' ni kiasi gani ya vyumba vifuatavyo: 24 sq meters na 15 sq meters? Natanguliza shukrani.