CHITEMBEJA
Member
- Apr 18, 2011
- 50
- 20
Bei ya korosho msimu huu imeanza kuporomoka katika minada iliyofanyika wiki iliyopita na wiki mkoani Lindi.
Habari kutoka mkoani huko zinadai kuwa bei imeshuka katika mnada uliyofanyika Liwale kutoka shs 3800/= hadi kufikia shs 2500/= kwa kilomoja ya daraja la kwanza.
kutokana na hali hiyo mbaya inadaiwa uongozi wa serikali wa mkoa huo umeruhusu wanunuzi wa zao hilo kusafirisha kupitia Bandari ya Dar es Salaam badala ya Mtwara ili kuepuka usumbufu unaodaiwa kushusha bei hiyo ya korosho.