CHITEMBEJA
Member
- Apr 18, 2011
- 50
- 20
Najua chadema mnakesha mkiomba bei ipolomoke faster ili mpate hoja kwa wananchi. Nyie watu wa ajabu sana badala ya kuiombea nchi hii mema nyie mnaiombe idumbukie shimoni. Hizi siasa za upinzani Africa mi naona vyama vya upinzani vifutwe mana havina maana yoyote. Vyama vya upinzani vikifutwa nchi itaenselea kwa kasi sana mana wao kila kitu wanaponda kweli kiwe vizuri au kibaya na hawana suruhisho. Come back Dr slaa upinzani umeshajifiaNi juzi juzi tu Magufuli alikuwa anajisifia kuwa ameweza kuipandisha bei ya kurosho mpaka kilo 1 kuuzwa kwa shilingi 4000/= ?
Nini kimetokea tena?
Alikuwa anajisifia asichokifahamu?
Najua chadema mnakesha mkiomba bei ipolomoke faster ili mpate hoja kwa wananchi. Nyie watu wa ajabu sana badala ya kuiombea nchi hii mema nyie mnaiombe idumbukie shimoni. Hizi siasa za upinzani Africa mi naona vyama vya upinzani vifutwe mana havina maana yoyote. Vyama vya upinzani vikifutwa nchi itaenselea kwa kasi sana mana wao kila kitu wanaponda kweli kiwe vizuri au kibaya na hawana suruhisho. Come back Dr slaa upinzani umeshajifia