Lazaroh Jr New Member Joined Feb 9, 2017 Posts 4 Reaction score 3 Oct 28, 2022 #1 Habari wakubwa naomba kufahamu bei ya korosho, kwa raw na ambayo imekuwa tayari , Na je tan 1 ya korosho ina kg ngapi?
Habari wakubwa naomba kufahamu bei ya korosho, kwa raw na ambayo imekuwa tayari , Na je tan 1 ya korosho ina kg ngapi?
Linchpin Member Joined May 25, 2022 Posts 75 Reaction score 142 Oct 29, 2022 #2 tani moja ya kitu chochote (hata kama ni manyoya) ina kg 1000.