Bei ya kuku wa kienyeji juu

Bei ya kuku wa kienyeji juu

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2013
Posts
942
Reaction score
567
Leo nimehangaika kutafuta kwio kwa ajili ya kesho ni balaa kuku anauzwa 15000-20000 heri ya cow meat 6000 Mmmh!
 
Ndo Bei zake kama unataka kuku mzuri na mnono.. Mimi Nimechukuwa watatu
 
Mwaka jana nilienda Singida,kule kuku wa kienyeji nusu anauzwa 3500.
Niliwala sana,sijui sasa hivi bei itakua shilingi ngapi!!
 
Ndio madhara ya kula kuku mpaka siku za sikukuu hayo.Hizo ndio bei zake unastuka nini
 
Wanakula wale wa bar,barabaran,kwa mama ntilie bakuli moja au vipande peke yao. Sikukuu wanalazimika kutafuta wa familia nzima
Kumbe watu hawalagi kuku hadi siku ya sikukuu!
 
Nyama ya ng'ombe sio nzuri kiafya... tafuna kuku hao,,,
 
Back
Top Bottom