KIDUME20
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,951
- 4,540
Habarini binadamu wenzangu.
Leo nimeona kwenye habari kuwa bajeti ya tz kwa mwaka 2023/2024 ni Trillion 44.3 nilivyoona hiyo 44 nikakumbuka bei ya twitter iliyonunuliwa na musk kwa 44B$ ambayo ni sawasawa na Trillion za kitanzania 101.2.
Pesa mingi sio hivyo nikavuta taswira huyu jamaa anaweza kubeba mzigo wetu wa uchumi kwa miaka 2 na usheee huku utajiri wake ukiremain constant lakini unafluctuate sometime.
Lakini pia nimejifunza huwezi kuwa tajiri kuliko nchi yako maana utajiri wa USA ni Trillions of dollars. Ila huku ni billions tu ndo maana.
Ni vigumu kuwa tajiri zaidi ya utajiri wa nchi yako.
All in all sijui kwann nimeanzisha threa.
Tchao