Juzi walisema tuna hifadhi ya tani 17 ya dhahabu pale hazina.Sisi familia zetu wanaume tunawanunulia dhahabu wake zetu na ni utamaduni wa miaka na miaka
Na wasichana hupewa kiasi na mama zao pindi wanapoolewa
Ni uwekezaji mzuri sana maana thamani hupanda kila wakati
Kuna nchi zimewekeza dhahabu nyingi sana ambapo ni utajiri mkubwa sana
Algeria wanaongoza Africa kwa kuwekeza Toni 180 kwenye akiba yao
Sisi sidhani hata tuna tani moja
Sahihi lakini madini yenyewe imekuwa ishi balaaaBei ya madini ya DHAHABU leo Tarehe 19 July kwa kila gram 1 ni kama ifuatavyo:
■ soko la dunia gram 1 ni Tsh 280,822/=
■Soko la Tanzania gram 1 ni Tsh 252,740/=
Wewe unafikiri ni kwanini bei inatofautiana hapo??
Kwa shilingi za Tanzania sawa na shilingi ngapi mkuuMsumbiji 160000 per gram
Nafikiri wamesikia kelele zetu za kila wakatiJuzi walisema tuna hifadhi ya tani 17 ya dhahabu pale hazina.
Bei ni hiyo hiyo hata ukiwauzia BOTKumbe ndiyo maana wale wahuni kwenye ile Docuseries ya Gold Mafia wanafosi kwenda kuuza Dubai?! Hatari sana
Bei ya dhahabu Dubai ni nzuri kuliko maeneo mengi, labda Kwa kuwa Kodi zao sio kubwa kama huku kwetu.Kumbe ndiyo maana wale wahuni kwenye ile Docuseries ya Gold Mafia wanafosi kwenda kuuza Dubai?! Hatari sana
Unatakiwa ujisajili kama dealerKwenye kibali sasa ndo kipengele na ukitakwa unapewa kesi ya utoroshaji wa madini na wkt umechimba mwenyewe😁
Acha uongo wakoBei ya dhahabu Dubai ni nzuri kuliko maeneo mengi, labda Kwa kuwa Kodi zao sio kubwa kama huku kwetu.
Kuna sehemu niliona, Serikali za Mitaa ambapo dhahabu zinachimbwa, wameingiza makato kwaajili ya CSR
Ambapo Kwa Kila gramu 1 itakayopelekwa Sokoni na wachimbaji Wadogo, basi watakatwa shilingi 1000
Hayo ni makato nje ya Kodi rasmi za TRA
Soma hayo maelezo ya jamaa ya mwanzo.Acha uongo wako
Bei ya dhahabu Dunia nzima ni sawa...
Fatilia taarifa za BoT wanayo majibu kuwa Wana hifadhi ya kiasi gani.Sisi familia zetu wanaume tunawanunulia dhahabu wake zetu na ni utamaduni wa miaka na miaka
Na wasichana hupewa kiasi na mama zao pindi wanapoolewa
Ni uwekezaji mzuri sana maana thamani hupanda kila wakati
Kuna nchi zimewekeza dhahabu nyingi sana ambapo ni utajiri mkubwa sana
Algeria wanaongoza Africa kwa kuwekeza Toni 180 kwenye akiba yao
Sisi sidhani hata kama tuna tani moja
Tayari mdau kawekaFatilia taarifa za BoT wanayo majibu kuwa Wana hifadhi ya kiasi gani.
serikali kupitia Benki Kuu toka mwaka Jana walianza kununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogowado na wanaosafirisha nje,unaiuzia BOT 20% ya dhahabu ulizonazo,hakuna makato na unapewa cash,hadi last month BOT wamekusanya 5 tons.Sisi familia zetu wanaume tunawanunulia dhahabu wake zetu na ni utamaduni wa miaka na miaka
Na wasichana hupewa kiasi na mama zao pindi wanapoolewa
Ni uwekezaji mzuri sana maana thamani hupanda kila wakati
Kuna nchi zimewekeza dhahabu nyingi sana ambapo ni utajiri mkubwa sana
Algeria wanaongoza Africa kwa kuwekeza Toni 180 kwenye akiba yao
Sisi sidhani hata kama tuna tani moja
Labda tuorodheshe ambako hakuna.Orodhesha watu wajirushe
ikapanda hadi 80000 miaka ya nyuma hapoNakumbuka tola moja ilikuwaga 60,000
Asante kwa hiloserikali kupitia Benki Kuu toka mwaka Jana walianza kununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogowado na wanaosafirisha nje,unaiuzia BOT 20% ya dhahabu ulizonazo,hakuna makato na unapewa cash,hadi last month BOT wamekusanya 5 tons.