Bei ya mafuta ghafi yaongezeka duniani baada ya Russia kuivamia Ukraine

Lowkii

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2020
Posts
293
Reaction score
459
Baada ya muda Mrefu Mafuta ghafi kuwa bei chee wakati wa janga la Corona kutoka bei hasi hadi kukaribia dollar 100 kwa pipa wakati huu.

Traders let's take advantage from this.

20220224_064830.png
 
Correction: Russia HAIJAIVAMIA Ukraine! Russia imeingia Ukraine kwa taarifa mahususi, kwa amani na lengo maalum la kuwahakikishia ulinzi na usalama raia wa majimbo yaliyojitangazia uhuru wao.

NB: Vamia = ingilia na kushambulia (aghalabu, ghafla) na kusababisha maafa, madhara, na kupora mali.

Role ya Russia haina tofauti sana na ^assumed role^ ya MONUSCO (Mission de l'Organisation des Nations Unies pour la stabilisation en République démocratique du Congo).

Tofauti tu ni kwamba wanajeshi wa MONUSCO wao ^wanalinda vita,^ badala ya kulinda amani!
 
[emoji1787][emoji1787] ila kweli MONUSCO naona kabisa wanalinda vita
 
Kumbe !ngoja unguja na pemba nao wajitangazie UHURU WAO
Alafu oman aje kuwalinda
Correction: Russia HAIJAIVAMIA Ukraine! Russia imeingia Ukraine kwa taarifa mahususi, kwa amani na lengo maalum la kuwahakikishia ulinzi na usalama raia wa majimbo yaliyojitangazia uhuru wao.

NB: Vamia = ingilia na kushambulia (aghalabu, ghafla) na kusababisha maafa, madhara, na kupora mali.

Role ya Russia haina tofauti sana na ^assumed role^ ya MONUSCO (Mission de l'Organisation des Nations Unies pour la stabilisation en République démocratique du Congo).

Tofauti tu ni kwamba wanajeshi wa MONUSCO wao ^wanalinda vita,^ badala ya kulinda amani!
 
toka nimeanzisha huu Uzi tiyari Mafuta yamepanda bei Zaidi ya USD 4 kwa pipa
 
Back
Top Bottom