Habari nzuri ni kwamba bei ya mafuta Tanzania itaendelea kushukuka kwa miezi inayokuja kutokana na bei ya Dunia kushuka. Tanzania inanunua mafuta kwa miezi mitatu hivyo bei inakuwa ya miezi mitatu nyuma.
Bei za US ni kutokana na bei ya wakati huo na kwa mwezi mmoja hapa nilipo Texas bei imeshuka kutoka $4 kwa gallon mpaka $3 ambayo ni kushuka kwa asilimia 25%. Hivyo tutegemee bei kutokupanda miezi ya 12 na mwaka kesho mwezi wa kwanza na wa pili.