Taarifa fupi ni kuwa bei ya mafuta haitakaa ishuke ndani ya utawala huu wa "Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake" hilo sahau. Ila nikuhakikishie itapanda kadri ya sababu ya kusingizia ikiendelea kuwepo.Habari nzuri ni kwamba bei ya mafuta Tanzania itaendelea kushukuka kwa miezi inayokuja kutokana na bei ya Dunia kushuka. Tanzania inanunua mafuta kwa miezi mitatu hivyo bei inakuwa ya miezi mitatu nyuma. Bei za US ni kutokana na bei ya wakati huo na kwa mwezi mmoja hapa nilipo Texas bei imeshuka kutoka $4 kwa gallon mpaka $3 ambayo ni kushuka kwa asilimia 25%. Hivyo tutegemee bei kutokupanda miezi ya 12 na mwaka kesho Mwezi wa kwanza na wa pili
Taarifa fupi ni kuwa bei ya mafuta haitakaa ishuke ndani ya utawala huu wa "Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake" hilo sahau. Ila nikuhakikishie itapanda kadri ya sababu ya kusingizia ikiendelea kuwepo.
Yakipanda huwa hatusubiriagi miezi mitatu 😂 fasta tu unaskia sheli zote wanasema hawana mafuta hadi kesho yake 😂😂😂Mafuta yakishuka bei ndiyo habari za "Sisi huagiza miezi mitatu" huibuka ila yakipanda tu tayari.
Habari nzuri ni kwamba bei ya mafuta Tanzania itaendelea kushukuka kwa miezi inayokuja kutokana na bei ya Dunia kushuka. Tanzania inanunua mafuta kwa miezi mitatu hivyo bei inakuwa ya miezi mitatu nyuma.
Bei za US ni kutokana na bei ya wakati huo na kwa mwezi mmoja hapa nilipo Texas bei imeshuka kutoka $4 kwa gallon mpaka $3 ambayo ni kushuka kwa asilimia 25%. Hivyo tutegemee bei kutokupanda miezi ya 12 na mwaka kesho mwezi wa kwanza na wa pili.
Toka mwezi wa Sita bei ya mafuta duniani ilishaanza kushuka, lakini Tz bei haishuki na badala yake imeendelea kupanda. Kwanini? Kodi na tozo za serikali zimerundikwa kwenye mafuta. Kwa hiyo hakuna ahueni yoyote itatokea kwa mtanzania ikiwa bei ya mafuta itashuka kwenye soko la dunia.
Bei ya mafuta kwa Tanzania inaweza shuka labdaa,lakini nauli na bei za bidhaa mbalimbali haziji kushuka!
Subutu!!!Habari nzuri ni kwamba bei ya mafuta Tanzania itaendelea kushukuka kwa miezi inayokuja kutokana na bei ya Dunia kushuka. Tanzania inanunua mafuta kwa miezi mitatu hivyo bei inakuwa ya miezi mitatu nyuma.
Naomba weka hapa bei ya petroli na dizeli ya sasa. Lakini bei ya sasa ina ruzuku halafu tuta angalia. Tuwe na utamaduni wa data na sio ushabiki
Mafuta sehemu nyingi yameshuka bei zaidi ya Tsh 400.Umetudanganya,huna ujualo.Taarifa fupi ni kuwa bei ya mafuta haitakaa ishuke ndani ya utawala huu wa "Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake" hilo sahau. Ila nikuhakikishie itapanda kadri ya sababu ya kusingizia ikiendelea kuwepo.
Wacha tulalame tupunguze sumu!bila kulalamika nchi hii ingekosa vijana,wote tungeonekana wazee!Wabongo tumekuwa vinara wa kulalama kila tu. Hakuna kitu tunafurahia. Ikipanda shida ikishuka tunakuja na lingine🤔 . Lakinj nakimbuka wakati wa Magu watu walikuwa wanashabikia hata uongo. Vijana wengi wanapenda ushabiki na kiki kuliko ukweli
Sasa 2,900 utasema yameshuka kweli, hivi unajua mafuta yalishawahi kufika 1,800?Mafuta sehemu nyingi yameshuka bei zaidi ya Tsh 400.Umetudanganya,huna ujualo.
Tanzania ipi inanunua mafuta yamiezi mitatu 🤔 nilini imekaa miezi mitatu bei haijapanda wala kushuka toka mwaka jana?Habari nzuri ni kwamba bei ya mafuta Tanzania itaendelea kushukuka kwa miezi inayokuja kutokana na bei ya Dunia kushuka. Tanzania inanunua mafuta kwa miezi mitatu hivyo bei inakuwa ya miezi mitatu nyuma.
Bei za US ni kutokana na bei ya wakati huo na kwa mwezi mmoja hapa nilipo Texas bei imeshuka kutoka $4 kwa gallon mpaka $3 ambayo ni kushuka kwa asilimia 25%. Hivyo tutegemee bei kutokupanda miezi ya 12 na mwaka kesho mwezi wa kwanza na wa pili.
Sasa 2,900 utasema yameshuka kweli, hivi unajua mafuta yalishawahi kufika 1,800?
Hii nchi ni channel ya katuni na maigizo huko mbinguniMafuta yakishuka bei ndiyo habari za "Sisi huagiza miezi mitatu" huibuka ila yakipanda tu tayari.
mbona nchini Zanzibar haijawahi kupanda ?Habari nzuri ni kwamba bei ya mafuta Tanzania itaendelea kushukuka kwa miezi inayokuja kutokana na bei ya Dunia kushuka. Tanzania inanunua mafuta kwa miezi mitatu hivyo bei inakuwa ya miezi mitatu nyuma.
Bei za US ni kutokana na bei ya wakati huo na kwa mwezi mmoja hapa nilipo Texas bei imeshuka kutoka $4 kwa gallon mpaka $3 ambayo ni kushuka kwa asilimia 25%. Hivyo tutegemee bei kutokupanda miezi ya 12 na mwaka kesho mwezi wa kwanza na wa pili.