Bei ya Mafuta na Mfumuko wa bei, tumejipangaje?

Bei ya Mafuta na Mfumuko wa bei, tumejipangaje?

OLS

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2019
Posts
426
Reaction score
685
Bei za mafuta zinahusika moja kwa moja na mfumuko wa bei(Headline inflation) hii ni kwa kuambiwa lakini nimefanya pia analysis ya haraka haraka na kuona uhusiano mkubwa kati ya hivyo vitu, tafadhali angalia matokeo haya kutoka kwenye STATA nimetumia data ya mwezi kuanzia 2010 hadi 2020.

1625476941195.png


Ikumbukwe kuwa ni kazi ya Benki Kuu ya Tanzania(BoT) kudhibiti mfumuko wa bei kupitia sera za fedha, lakini kwa hii ni kuwa mfumuko hapo utakuwa umeingia kutoka Fiscal Policy, vyovyote itakavyokuwa
1625478070209.png

Bei za Petrol zimekuwa zikitrend sawa na Exchange rate,


Habari Njema: Kwa wale wenye account za fedha za kigeni watarajie kuanzia mwezi wa nane ambapo Exchange rates zitakuwa zimebadilika(Post Estimation)

Habari Mbaya: Bei zitapanda wananunuzi na wenye fixed income, wajipange kivingine.

Data zimepatikana kutoka ktk Website ya BoT

Signed
OEDIPUS

1625478511063.png
 
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano, kazi iendelee!
 
Back
Top Bottom